Silicon Lab

Karibu Silicon Lab

Ofisi ya ufundi wa simu na laptop, tunauza pia parts na vifaa vya ubora. Tengeneza kifaa chako au nunua parts unazohitaji β€” wote tunakuhudumia kwa haraka na uaminifu.

πŸ›‘οΈ Miezi 3 Warranty ⚑ Delivery Dar 24hrs βœ“ Mafundi Wenye Uzoefu

Delivery ya Haraka

Ndani ya Dar es Salaam masaa 24.

Malipo Salama

Lipa moja kwa moja kwa M-Pesa.

Miezi 3 Warranty

Kwenye kila ukarabati tunaofanya.

Msaada wa WhatsApp

Uliza swali lolote, tupo kukusaidia.

πŸ”₯ Ofa za Mwezi Huu

Muda ni mdogo β€” hadi zitakapoisha!
-3% Brand New 512GB NVMe M.2 2280 SSD
1 2 2
Brand New 512GB NVMe M.2 2280 SSD

HIKSEMI

TZS 195,000 TZS 200,000

Ipo Stock
-13% Skrini ya iPhone 11 Pro Max
4 6 4
Skrini ya iPhone 11 Pro Max

Apple

TZS 65,000 TZS 75,000

Ipo Stock
-12% Skrini ya iPhone 13 (Original Quality)
5 4 4
Skrini ya iPhone 13 (Original Quality)

Apple

TZS 115,000 TZS 130,000

Ipo Stock
-6% Skrini ya iPhone 13 Pro (Original Quality)
12 10 9
Skrini ya iPhone 13 Pro (Original Quality)

Apple

TZS 150,000 TZS 160,000

Ipo Stock

Huduma Zetu za Ukarabati

Ona Zote →

Simu

Kubadilisha Kioo cha Mbele au cha Nyuma
Kubadilisha Camera Zenye Matatizo
Kubadilisha Betri za Simu Zote

Laptop

Software Installation (Aina Zote)
Motherboard Repair
Keyboard Repair

Huduma kwa Taasisi na Mashirika

Tunatoa huduma hizi za ufundi pia kwa taasisi binafsi na za Serikali. Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu kwa mashule, vyuo na watu binafsi.

Wanachosema Wateja

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…

"Nilienda kubadili kioo cha 13Pro Max DD Kioo OG na mfuniko wa Nyuma, kazi imenyooka na mda mfupi hautojutia."

Momo Store

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…

"Smart services, I acknowledge the high level of customer service quality received πŸ™πŸΏ"

Fortunata Mgweno

Google Review

β˜…β˜…β˜…β˜…β˜…

"Smart services, I acknowledge the high level of customer service quality received πŸ™πŸΏ"

Fortunata Mgweno

Google Review

Acha Maoni Yako

Maswali Yanayoulizwa Sana

Mnatoa warranty ya muda gani kwenye ukarabati?
Tunatoa Miezi 3 Warranty kwenye kila ukarabati tunaofanya. Kama tatizo lililorekebishwa litajitokeza tena ndani ya muda huo kwa sababu ya kazi yetu au kipuri tulichoweka, tutakirekebisha bila malipo zaidi.
Ofisi iko wapi?
Tupo Kariakoo Mtaa wa Masasi na Msimbazi, nyuma/jirani na Kanisa la KKKT kwenye jengo la Horizon Tower,utapandisha ngazi chumba namba D-05.Au Ukiwa kituo cha Mwendokasi Msimbazi B tupigie 0764111116 tukufuate hapo.
Ukarabati unachukua muda gani kukamilika?
Ukarabati mwingi (kama kubadili kioo au betri) huchukua saa chache tu siku hiyo hiyo, kutegemea na tatizo la kifaa chako na upatikanaji wa kipuri. Baada ya kuleta kifaa chako, tutakupa muda kamili baada ya uchunguzi.
Nitajua vipi gharama ya ukarabati kabla sijaleta kifaa?
Tuma ombi la ukarabati kupitia website au tupigie/tuandikie WhatsApp ukieleza tatizo la kifaa chako, tutakupa bei elekezi. Bei halisi inathibitishwa baada ya fundi kukiona na kukichunguza kifaa chako.
Je, mnatumia vipuri halisi (original) au copy?
Tunauza aina zote mbili - vipuri halisi (Original Quality) na vya kawaida (Copy) - kutegemea bajeti na mahitaji yako. Tutakueleza tofauti ya ubora na bei kabla ya kuendelea na ukarabati.
Mnafanya delivery ndani ya Dar es Salaam?
Ndiyo, tunafanya delivery ndani ya Dar es Salaam ndani ya masaa 24. Kwa maeneo mengine ya Tanzania, tunaweza kutuma kupitia usafiri wa mizigo.
Malipo yanafanyika vipi?
Malipo yanafanyika kwa M-Pesa Lipa Namba moja kwa moja. Baada ya kuthibitisha bei, tutakupa namba ya Lipa Namba kukamilisha malipo.
Wasiliana Nasi kwa WhatsApp