About Us
Silicon Lab ni ofisi ya ufundi wa simu na laptop iliyopo Mtaa wa Masasi, Kariakoo, Dar es Salaam. Tunatoa huduma za kutengeneza simu na laptop, kuuza parts na vifaa vya ubora, na kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma ya haraka na ya kuaminika.
Tuna wafanyakazi wenye uzoefu na tunajivunia kutoa huduma bora kwa bei nafuu.
Wafanyakazi Wenye Uzoefu
Mafundi waliobobea kwenye ukarabati wa simu na laptop.
Bei Nafuu
Huduma bora kwa bei unayoweza kumudu.
Huduma ya Haraka
Tunathamini muda wako, tunakuhudumia kwa haraka na uaminifu.