Una Tatizo la Simu au Laptop?
Jaza fomu hii tuweze kuchukua taarifa za kifaa chako. Tutakupigia simu kuratibu jinsi ya kukileta au tutakuja kukichukua.
Taarifa Muhimu
Baada ya kutuma ombi, tutakupigia simu kukueleza gharama halisi baada ya fundi kuchunguza kifaa chako.
Soma Masharti ya Warranty →