Silicon Lab

Hukuipata Bidhaa Unayotafuta?

Tuambie unachotafuta, hata kama haipo dukani kwa sasa - tutakusaidia kukiagiza.

Taratibu za Usafirishaji

  • Baada ya kutuma ombi, tutalikagua na kukupigia simu kukueleza bei na uwezekano wa kulipata.
  • Ukishalipa: bidhaa nzito/kubwa husafirishwa kwa meli na huchukua siku 30 hivi kufika.
  • Ukishalipa: bidhaa nyepesi/ndogo husafirishwa kwa ndege na huchukua siku 4 hivi kufika.
  • Muda huu unaweza kubadilika kidogo kutegemea ukaguzi wa forodha (customs) - hauko mikononi mwetu 100%.
  • Malipo ni kwa M-Pesa Lipa Namba, kama huduma zetu nyingine - tutakupa namba baada ya kukubaliana bei.
Wasiliana Nasi kwa WhatsApp